Lazima nikiri kuwa nimekuwa shabiki wako tangu unatoa wimbo wa mtoto wa uswazi ila baadae ukamua kuacha rap na kuamua kuimba niliendelea kukusikiliza lakini sikuvutiwa na style yako mpya.
"Nimeshamaliza" ndo kazi yako mpya hakika huyu ndo janja niliyekuwa nasikiliza nyimbo zake na ingizo la Aslay hakika limeleta chachu katika wimbo japo amekukimbiza sana katika uwanja wako wa nyumbani..
We ni rapa achana na mzee wako Madee anayekushauri uimbe kwani hata rapa INA pesa tazama WEUSI, Fid Q nk
Hongeren kwa kazi nzuri...