Asante Dogo Janja...

Travoo

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
397
481
Lazima nikiri kuwa nimekuwa shabiki wako tangu unatoa wimbo wa mtoto wa uswazi ila baadae ukamua kuacha rap na kuamua kuimba niliendelea kukusikiliza lakini sikuvutiwa na style yako mpya.

"Nimeshamaliza" ndo kazi yako mpya hakika huyu ndo janja niliyekuwa nasikiliza nyimbo zake na ingizo la Aslay hakika limeleta chachu katika wimbo japo amekukimbiza sana katika uwanja wako wa nyumbani..

We ni rapa achana na mzee wako Madee anayekushauri uimbe kwani hata rapa INA pesa tazama WEUSI, Fid Q nk

Hongeren kwa kazi nzuri...
 
"Nimeshamaliza" ndo kazi mpya ya huyu jamaa,sio siri huyu ndo Janja niliyekuwa shabiki wake tangu ana miaka 10.Uliopoanza imba kama baba ako Madee ilibidi nikae pembeni..

Sema huyu Aslay kidogo akuvunje kiuno kwenye ngoma yako mwenyewe..

Hongeren kwa kazi nzuri...
Unawahi wapi, andika kitu kikaeleweka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom