Asante CRDB kwa gawio

Asante CRDB kwa gawio

Kila mwisho wa mwezi wa 6 CRDB huwa wanagawa gawio. Vipi kwa ma bank mengi nao huwa wanafanya hivyo?
Mwana hisa?
Fixed account?
Au gawio kwa Wateja wote
 
Wanagawa sana tu,kuna kipindi nilipokea baiskeli miezi 6 mingine nikapokea tomato sauce,mwezi wa 12 nategemea kupokea Asali ya nyuki wadogo from Uvinza,mawese na migebuka.
 
Back
Top Bottom