mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,969 6,460 Jun 24, 2016 #1 Kufa kwa simu kumenifaa sana wapendwa Walau sasa simu zinatoka kwa wingi zaidi Poleni wote mliofungiwa simu karubuni simu zipo kwa wingi Aaah!!! Haaahhhhhgdddh Aoooooh Nimepaniki yani daaaah Karibuni simu zote zipo
Kufa kwa simu kumenifaa sana wapendwa Walau sasa simu zinatoka kwa wingi zaidi Poleni wote mliofungiwa simu karubuni simu zipo kwa wingi Aaah!!! Haaahhhhhgdddh Aoooooh Nimepaniki yani daaaah Karibuni simu zote zipo
Glenn JF-Expert Member May 23, 2015 65,812 156,950 Jun 24, 2016 #2 Ningeulizia uliko nije kununua but nilipogundua unawang'ong'a walofungiwa nimesita
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,969 6,460 Jun 24, 2016 Thread starter #3 jambilo said: Ningeulizia uliko nije kununua but nilipogundua unawang'ong'a walofungiwa nimesita Click to expand... Hapana nimewapa pole na kufuraia bila kufungiwa simu nisingeingeza mauzo mkuu
jambilo said: Ningeulizia uliko nije kununua but nilipogundua unawang'ong'a walofungiwa nimesita Click to expand... Hapana nimewapa pole na kufuraia bila kufungiwa simu nisingeingeza mauzo mkuu