Asante awamu ya 5, asante TCRA kwa kugungia simu mauzo yameongezeka

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,457
Kufa kwa simu kumenifaa sana wapendwa
Walau sasa simu zinatoka kwa wingi zaidi
Poleni wote mliofungiwa simu karubuni simu zipo kwa wingi
Aaah!!! Haaahhhhhgdddh
Aoooooh
Nimepaniki yani daaaah
Karibuni simu zote zipo
 
Ningeulizia uliko nije kununua but nilipogundua unawang'ong'a walofungiwa nimesita
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom