Wakati wanasiasa uchwara wakiwemo wa CCM na wengine kutoka chama change cha CHADEMA wakibeza Mh rais kununua bombadia mbili kwa billion 60 sawa na perdiem ya miezi 6 watuminishi wanaosafiri nje ya nchi. Sasa wanachi wakawida tunashukuru Mh Rais kwa umazi wako wakununua Bombadier kwani imekuwa mkombozi kwa safari za Mtwara na Songea. Bei ya ATCL kuja Mtwara na kodi ni sh 220,000 tu wakti precision ni sh 440,000 tsh. Asanteni Atcl kwa kuleta ushindani wa maana. Kwa anayetaka kuhakikisha please angalia booking za makampuni mawili kwenye mitandao yao