Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Mfano wa malengo yako yanakuwa yapi mkuu? Nasi tujifunze.Uyo umepata kama mimi, nkiwa na malengo yangu ntakupenda upendeke [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mhmhhh hebu dadavuaUyo umepata kama mimi, nkiwa na malengo yangu ntakupenda upendeke [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wewe ni keMfano wa malengo yako yanakuwa yapi mkuu? Nasi tujifunze.
NdiyoWewe ni ke
Kwa hyo mkuu we upo kimaslahi zaidi hauangalii utu ? [emoji3]Uyo umepata kama mimi, nkiwa na malengo yangu ntakupenda upendeke [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Cheti cha kuzaliwa kinasoma namba ngapi ?Yaani mwaka huu baada ya kuburuzwa na Mademu wa mizinga January hadi October hatimae nimepata Demu wa mahaba niue !kuna wanawake wanajua kupenda jamani sio kwa mahaba haya!!
Sent by Diaspora
🤣 🤣 🤣 🤣 inategemea ntu na ntu
Tehtehteh...
Wewe mpya kwenye mapenzi eeh?
Wanawake nyakati hizi wapole kama mtetea unaotaga....nikumbushe hii comment yangu tarehe 20 January.
Uyo umepata kama mimi, nkiwa na malengo yangu ntakupenda upendeke [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Cheti cha kuzaliwa kinasoma namba ngapi ?
MarahabaaaMimi ni muhenga
Sent by Diaspora