hayo huwa ni maneno tu kuna wakati unafika unashangaa kama kweli umewah kuambiwa hayo au la unaanza kuambiwa kinyume chake
Acha tu mkuu, unabaki umeduwaa hata uki-rewind hupati snap halisi maana ni kinyume cha hali ya juu. Mapenzi bwana kizungumkuti.
happy eid, mzima weye
Ni kwa asilimia flani, ILA naamini Kuna wachache kama Mimi wenye imani ya mapenzi ya kweli
Acha tu mkuu, unabaki umeduwaa hata uki-rewind hupati snap halisi maana ni kinyume cha hali ya juu. Mapenzi bwana kizungumkuti.
mzima 'asali wa moyo '? hahaaa