Asali Asali Asali

Asali Asali Asali

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Habar wadau, natafuta soko zuri la asali kwa dar es salaam, ninazo lita 400 za asali natafuta mnunuzi wa asali. Asali yenyewe ni kutoka Manyoni-Singida kama utakua interest ni PM tuongee biashara.
 
Habar wadau, natafuta soko zuri la asali kwa dar es salaam, ninazo lita 400 za asali natafuta mnunuzi wa asali. Asali yenyewe ni kutoka Manyoni-Singida kama utakua interest ni PM tuongee biashara.

Unauza jumla au reja reja mkuu?
 
Nauza jumla mkuu...zipo kwenye madumu ya lita 20
 
Dumu la lita 20 ni 140k....0718267085
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom