Mkuu huku sio FB wala Insta,huwa hatuweki picha zetu humu..Hao kina Evelyn Salt na kina Miss Natafuta na wengine kina lara 1 huenda sio wanawake..hahah si umeona mimi nimeweka United Trinity.Humu hakuna Trump japo kwenye Avatar kuna Trumps kibao ila karibu sana JF🙂🙂🙂🙂