Asaidiwe vipi! True story

Asaidiwe vipi! True story

yaan mpaka bs..ni vitu ving ashamfanyia huko nyumakuna wakat alimfumania na akiwa nyumba ya jiran na house girl wa apo kwa jirani,ila yy dada ndo aliambulia kipigo cha hali ya juu,akavuliwa nguo zote akabaki na nguo ya ndani tu..majirani ndo walikuja kumsitiri na kanga..wakamshaur akatoe taarifa polisi.. iyo kesi yy mwenyew dada aliifuta bila kujilisha ndg.
sasa baad ya yote hayo bado anamsikiliza mumewe kweli? ni mume huyo sasa!??:angry:
 
In short mume wake ni changudoa wa kiume...
 
huyu shemeji yetu ni zaidi ya muuza sura..imagn anatongoza hadi shemeji zake,
Duh! Hii ni ngumu, wanaume wauza sura ni shida sana, anataka kulelewa na wanawake. Huyo dada ausikilize moyo wake tu, kama ana amani, amsamehe na aendelee kuishi na mumewe. Ndoa zina siri nyingi sana. Akumbuke pia - hakuna guarantee kama akimuacha mumewe ndio atapata furaha huko aendako lol!
 
na apo itabidi asubiri miaka mingne kama kumi ivi..umo ktkt ss sijui nn kitatokea
Yaani ni ngumu sana ila kwa vile anawapenda wanae basi akae hapo kwa lengo kwamba "yuko hapo kwa faida ya watoto" yaani anawasindikiza watoto wakifika mahali watakapoweza kujitegemea wenyewe basi na yeye achukue ustaarabu wake.
 
Wanawake wanajua kuvumilia vihoja ndani ya ndoa ila kwa hili, hata kama una moyo mgumu vipi lazima uwe na mawazo, machozi na kukonda. Cha kufanya ni kutafuta jinsi ya kuondokana na huyo mwanamme.
 
hana kazi yyt..na mama yake saiv kastaaf..so anawaza namna ya kuwalea wanae pia..na pia ushauri huu alipewa siku nyng sn..haufanyii kazi

Kama haufanyii kazi kwa maana hawezi kubeba wanae na kukimbia nao mbali iwezekanavyo basi akae tu andelee kuwalea hapo hapo kwa title ya "maid". Ila asilalamike kwa ndugu wala marafiki kuhusu baba wa watoto wake.
 
Yaani ni ngumu sana ila kwa vile anawapenda wanae basi akae hapo kwa lengo kwamba "yuko hapo kwa faida ya watoto" yaani anawasindikiza watoto wakifika mahali watakapoweza kujitegemea wenyewe basi na yeye achukue ustaarabu wake.

... na ukimwi je?....anaweza asifike hata huko anakotaka wanae wafike......abebe watoto aanze mbele...
 
Mwambie akimbie asigeuke nyuma achukue watoto zake wasepe huyo mwanaume hafai
 
apo ndo penye kaz tena..haish kulalamika..anasaidiwa kimawazo hafanyii kazi,kuna kipind alipewa mtaji,akaanza biashara ilipoanza kua imara akamkabidhi mumewe hela ya mtaji+ faida na bidhaa ili aendeleze biashara ile,ilipoishia,hakuna anaejua
Kama haufanyii kazi kwa maana hawezi kubeba wanae na kukimbia nao mbali iwezekanavyo basi akae tu andelee kuwalea hapo hapo kwa title ya "maid". Ila asilalamike kwa ndugu wala marafiki kuhusu baba wa watoto wake.
 
yaan mpaka bs..ni vitu ving ashamfanyia huko nyumakuna wakat alimfumania na akiwa nyumba ya jiran na house girl wa apo kwa jirani,ila yy dada ndo aliambulia kipigo cha hali ya juu,akavuliwa nguo zote akabaki na nguo ya ndani tu..majirani ndo walikuja kumsitiri na kanga..wakamshaur akatoe taarifa polisi.. iyo kesi yy mwenyew dada aliifuta bila kujilisha ndg.

ptu! ana lake jambo...si haba! chonde usijejitia mjuaji ukamshauri mtu wa namna hiyo....
 
apo ndo penye kaz tena..haish kulalamika..anasaidiwa kimawazo hafanyii kazi,kuna kipind alipewa mtaji,akaanza biashara ilipoanza kua imara akamkabidhi mumewe hela ya mtaji+ faida na bidhaa ili aendeleze biashara ile,ilipoishia,hakuna anaejua
Basi akili yake imeganda. Angekuwa ndugu yangu ningemtandika vibao vya nguvu ili azinduke!
 
kwani alishajaribu kuondoka nao ikawaje? mana anamfanyia mwenzie unyama... sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua kabisa ndoa za kimila angeweza kwenda mahakamani sema sasa huo upande wa pili kwa kuwa una mshiko inaweza chelewesha kupata haki yake si unajua tena mambo ya hapa kwetu... hapo kama anaweza kujisimamia mwenyewe anaweza kujisogeza tu akaangalia ustaarabu mwingine wa maisha mana magonjwa ndo hatari zaidi.
ku run anasita.anaumia kuwaacha wanae..maana kaambiwa na mumewe uyo akitaka kuondka aondokepeke yake..
 
ashajaribu kuondoka mara tatu..tena kipindi iko alikua na mtt mmoja bado..akabeba na vyombo vyake kabs..ila baadae akiwa uko nyumbani alianza kua antoroka toroka anrudi kwa mumewe kisrisiri..baadae akahamia kabisa..ss ivi ndg wamechoka..wanabaki tu kuumia vile anavolalamika
kwani alishajaribu kuondoka nao ikawaje? mana anamfanyia mwenzie unyama... sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua kabisa ndoa za kimila angeweza kwenda mahakamani sema sasa huo upande wa pili kwa kuwa una mshiko inaweza chelewesha kupata haki yake si unajua tena mambo ya hapa kwetu... hapo kama anaweza kujisimamia mwenyewe anaweza kujisogeza tu akaangalia ustaarabu mwingine wa maisha mana magonjwa ndo hatari zaidi.
 
Maisha yenyewe mafupi hiv alafu bado binadamu mwenzako anakupa strec kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom