ASA Microfinance

ASA Microfinance

Hbi nduguuu zetuu wa asa microfinance walishaitaa wale watu 100 nduguu zanguu maaana tunaona kama ni kimya
 
Kuna yule MTU alisema yupo jiran na hr wao ngoja aje atupe majibu
 
Mkiona kimya ujue manyonyaaaaa
 
Yaani ASA Microfinance waajiri maafisa mkopo 100. Hao ni watu wa sales ila wanazuga eti Afisa Mkopo. Unalipwa kwa commission. Hamna lolote hapo. Wanachukuaga watu wenye njaa. Nyie wenye degree zenu hamuwezani.
Uzi ufungwe hapa,umepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la unyonyaji la ASA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo ivi wakuu naon mnampinga sana mdau apo juu ila ASA wameshaita watu batch 2 ndo wapo training.kama hujaitwa na bado unahitaji kazi nashauri ni vyema ukapeleka cv physically pale kuna cv drop box unakua Na chances kubwa za kuitwa
Acha kazi iendelee Tukutane TPB BANK
Hv pale unapeleka cv tuu bila kitu kingine.?
 
Back
Top Bottom