ASA Microfinance

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
637
555
Wanajamvi kwema? Kama kichwa cha habari kinavojieleza naulizia kama hao watu wameshaanza kuita kwenye usahili katika zile nafasi 100 walizotangaza za Afisa mikopo.
 
ukiona watu wako kwenye ina maanisha wamesha pita kwa level ya interview mkuu.. ila ndio mana nikasema peleka tena ombi lako weka mle kwa sanduku ofisini kwao makao pale.. .. incase km bado wanachakata jina lako liwemokwa waloomba na kama imepita basi walikute kwa wapya wanao apply
 
watu wako training mkuu... ila usijali huenda ukaitwa..
Una uhakika?
Mimi nimeambiwa na mtu wa ndani kwamba mchakato bado na wamesitisha hadi mwezi wa ramadhan upite. Wewe tuambie lini watu wameitwa, lini wamefanyiwa interview na lini wameanza kazi ndani ya muda huu mfupi.
Labda kama unaongelea nafasi ya afisa mikopo pekee, maana walitangaza nafasi nyingi.
 
nimekuambia watu walokuwa training.. sasa umeuliza umehibiwa umepewa na ushauri nini cha kufanya wataka jua vingi..basi yote majibu
 
ukiona watu wako kwenye ina maanisha wamesha pita kwa level ya interview mkuu.. ila ndio mana nikasema peleka tena ombi lako weka mle kwa sanduku ofisini kwao makao pale.. .. incase km bado wanachakata jina lako liwemokwa waloomba na kama imepita basi walikute kwa wapya wanao apply
Halafu andika taratibu ueleweke, typing errors kibao. Toa maelezo yenye kueleweka na kama huna taarifa rasmi ni bora useme sio kumchanganya mtoa mada.
 
wote hamjanielewa basi mniombe upya kuelewa.. mimi ni miongoni mwa nilo apply ni niliitwa na training mefanya.. labda niwajibu hivi.. ila watu tulokuwepo hatufuki mia means kuna batch ipo nyuma.. itafuata so meshauri kutupa cv upya mle kwa boksi incase batch ya pili mtu ukakosa.. mkielewa mnijuze
 
Wewe Mhindi nini?, nahisi wamekuelewa
 
wote hamjanielewa basi mniombe upya kuelewa.. mimi ni miongoni mwa nilo apply ni niliitwa na training mefanya.. labda niwajibu hivi.. ila watu tulokuwepo hatufuki mia means kuna batch ipo nyuma.. itafuata so meshauri kutupa cv upya mle kwa boksi incase batch ya pili mtu ukakosa.. mkielewa mnijuze
At least hapa umeeleweka, maana ulikuwa unapost as if umesimama kwenye daladala ya kwenda mbagala.
Asante kwa majibu.
 
Anakatisha tu wenzake tamaa tangazo hata wiki 3 kutoka deadline bado alaf yeye ameshaitwa na kufanya interview (written, oral) na ameshaitwa kazini anafanya training JAAAAMAAAN
uliza ujibiwe ..tatizo mkuu wajifanya wajua vingi kumbe hujui.. ipo hiv after interview ni training direct baada ya hapo twasubiri kupangiwa.. usikariri kuwa training mpaka uwe umeingia kazini tayari.. wao baada ya interview wanakupa mafunzo yao kabisa( theory and practical) ..( na interview yao ni group boss) si individual .. ila tu kila mtu aweza ulizwa swali lake ..maswali zaidi njoo pm
 
Haya maelezo yananukia 'uongo uongo'
 
Back
Top Bottom