Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
safi sana shem, hata mimi nilikumiss sana huko mafichoni nilikokuwa....
tunamshukuru Mungu wote tupo salama kabisa.....
haya endelea kuandaa doz shem
Arushaone, mi naona mwenye mwongozo muafaka kabisa kwa hilo ni mlongo wangu snowhite na siku hizi naona anamfundishafundisha shem wake Nicas Mtei, sijui kafikia wapi huyu dogo?
ahahahahhahahhahahha kitu mfidio mchezo!
ahahahahhaha sa hiz nawekeza tena kama NICOL vile!
hv uliniitia nini dada mkubwa?\
nishasaahu ujue!
Mwaka moja tu Remmy. Ila nilishaota meno, kucha na mvi mpaka kunako. Daadeki!
Nimekosa mimi, nimekosa mimi, Nimekosa sana!
.......wote waitikie "na iwe hivyo"ndio maana unastahili kumkosa mwali, bikira daima, wana-chit chat tukuombee we mkosefu, sasa na saa ya kwenda kijijini kwenu.................
Haya, umesamehewa. Umemuona Uncle? Mwambie namtafuta anipigie it is urgentNimekosa mimi, nimekosa mimi, Nimekosa sana!
.......wote waitikie "na iwe hivyo"
hahahaha ndio maana unakunywa maziwa ya TBL tu..... hongera mkuuu
ndio maana unastahili kumkosa mwali, bikira daima, wana-chit chat tukuombee we mkosefu, sasa na saa ya kwenda kijijini kwenu.................
Haya, umesamehewa. Umemuona Uncle? Mwambie namtafuta anipigie it is urgent