Hahahaha basi Daaadaa wako si nchezo. Kwahiyo hapa ndugu yako Nicas Mtei alikuwa anafanya nini na daaadaa yako Madame B?Hapana.. Madame B ni 'Daaaaadaa' (isome hivo ilivoandikwa) sio 'Dada'
Arushaone, mi naona mwenye mwongozo muafaka kabisa kwa hilo ni mlongo wangu snowhite na siku hizi naona anamfundishafundisha shem wake Nicas Mtei, sijui kafikia wapi huyu dogo?
Hahahaha basi Daaadaa wako si nchezo. Kwahiyo hapa ndugu yako Nicas Mtei alikuwa anafanya nini na daaadaa yako Madame B?
Hahahaha ulivyo na mapozi nani atahangaika na wewe?
safi sana shem, hata mimi nilikumiss sana huko mafichoni nilikokuwa....Nimekumiss shem wangu. Ndo naendelea kuandaa doz
safi sana shem, hata mimi nilikumiss sana huko mafichoni nilikokuwa....
tunamshukuru Mungu wote tupo salama kabisa.....
haya endelea kuandaa doz shem
Umeonae? Yaani ana Kipaji Halisi ..... Sema kaniudhi tu alivomwita Arushaone mdogo wake wakati Arushaone na Kingunge wamepishana mwaka mmoja tu!
best si bora hata ningeenda kwa wazazi? nilikuwepo hapa hapa na la maana nililolifanya halikuwepo.samahani best hata hukunialika kwenye sikukuu hii kulikoni ulikwenda kuwatembelea wazazi?