Watakuwa wamemwachia hata simu kweli hawa? mbona nam'DIPU kwa line zake zote simpati.akija ashukie kwa Cheusi apate supu kwanza maana watakuwa wamemfanya hamna!
Baada ya kukaa kama kamati mimi na Arabela leo tumemruhusu Arushaone kurudi nyumbani kuungana na mkewe halali Blaki Womani.
Kwa kweli tumefaidi............, na tmemrudisha mzimaaa na safe from everything na mwepesi mno.
@Blaki Woman hakikisha menu ya mzee inakuwa na varieties zenye carbohydrates na protein zaidi.
Arushaone tunakushukuru sana sana kwa company yako hatukuchoka ila tumemuonea huruma mke halali na malalamiko ya Filipo.
Shukurani za dhati kwa wana Arusha woote kwa kukubali kumwacha MSUWATI Tanga hadi tulivyomruhusu leo.
Arabela karibu kwa kuongezea, uwanja ni wako nyumba ndogo mwenzangu.
Kazi tumeifanya.
Habari hizi ziwafikie PakaJimmy, Preta, @ Filipo, werawera, Lily Flower, marejesho, nyumba ndogo mwenzetu Madame B, Tanga crew pamoja na corabo ya dar
Watakuwa wamemwachia hata simu kweli hawa? mbona nam'DIPU kwa line zake zote simpati.
Ajiachie naye, au ampeleke Mount Meru akalazwe!PakaJimmy maungo yake ni hazina yetu i see. Hatuwez yaharibu, yapo salama kabisaa, Blaki Womani jiachie kwa raha zako.
mpenzi hatimae tumempa go ahead ila dah sidhani kama atatusahau jaman.. Hii ndio tanga kuna karibu tanga hakuna kwaheri tanga. ARUSHAONE utatusalimia Blaki woman
wewe mimi namba ingine kabisa ngoja aje haki ya m2 haipotei hata siku moja,Baba V huwa haeleweshi! Anavunja tu!!! Pole sana!
Blaki Womani nakupa ushauri Mwayego, akifika tu, breki ya kwanza kwa Dr. Wanjara pale Mianzini, ili akaangaliwe kwanza kama anafaa kwa matumizi ya mwanamke.
Blaki Womani nakupa ushauri Mwayego, akifika tu, breki ya kwanza kwa Dr. Wanjara pale Mianzini, ili akaangaliwe kwanza kama anafaa kwa matumizi ya mwanamke.
wewe mimi namba ingine kabisa ngoja aje haki ya m2 haipotei hata siku moja,
Wenzio Tanga wamemfanya hamna! Kaogeshwa na maji ya iliki, kanywa ya ukili na amelowekwa Pangani! Huko Amboni wakamwekea nadhiri, na amelazwa Chumvini!!! Huyu KOKUTONA ni noumer! Chezeya Tanga weye?
Naiwazia hiyo threesome ilivyofanyika.
Anyway, tunaomba mtujulishe mmempakiza basi gani, Freys, Ngorika, Mtei, Bazzu, au Simba Mtoto?
Acha tufanye mpango tukampokee bana, tutafanyaje sasa.
Filipo, LiverpoolFC, sweetlady, Preta, andaeni mausafiri tumfikishe kwake Moshono.
Hujaelewaa nini hapo Mamzalendo?