Ingekuwa vizuri hawa viongozi wakuu wa taifa Kichama wanapoongea tusiishie tu kusifia umati wa watu waliojitokeza. Hebu tujuze Mbowe kazungumza nini juu ya uchumi wa nchi yetu,mikakati ya kujikwamua kiuchumi,..na sera nyingine kama kilimo,elimu,ajira na kadhalika. Haya ndio mambo muhimu tunayohitaji kupima uzito wa hotuba za hawa viongozi na sera za vyama siasa. Ni kwa njia hii ndio tutaweza kupima kati ya viongozi shupavu,wenye mipango,wenye sera makini,wakweli..vinginevyo tutaingiza madarakani vilaza,waongo,walafi,wapenda sifa na wabinafsi.
Mleta uzi,Mbowe kwa nafasi yake amesema nini juu ya hayo?
Please keep quiet and its none of your business
Kwani Fuso ina park ndani ya ofisi kama kabati au nje?
Najua huajanywa chai hadi saizi ndo maana hujaelewa vizuri kiswahili...
Ni hivi, hilo FUSO unalosema liko nje ya ofisi ya kata so hakuna uongo hapo. Kama umeenda shule kidogo jikumbushe zile hesabu za set na subset na union of the set kisha chora venn diagram uone kama fuso halijapaki kwenye ofisi ya kata
Msiwe kama mamba kila kitu mnacholetewa mnameza tu bila kuhoji, unaweza kunionesha ofisi za Chadema hapo?
Hawa ndio aina ya Wanawake wa kuoa, huyu hayupo kwenye level ya kofia na Kanga.sijahadisiwa....sijatunga.....na nina uhakika 120%....udiwani Daraja Mbili ni wa Chadema.....kila mmoja na aamini ninachosema......
ficha upumbavu wako usifiche hekima yakoUongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.
Msiwe kama mamba kila kitu mnacholetewa mnameza tu bila kuhoji, unaweza kunionesha ofisi za Chadema hapo?
ficha upumbavu wako usifiche hekima yako
umefaulu hesabu ya sett uloambiwa uifanye hapo hawali?
Teh, kweli we ndo'ritz
How do you get you're daily bread because it seems like a personal who never go offline. What a you doing for living exactly?Mkuu mpe Lema afanye akishindwa utaniambia sawa Kamanda.
TUTAIFUTA CCM ARUSHA KABLA 2015! Hutaki unaacha
Mkuu mpe Lema afanye akishindwa utaniambia sawa Kamanda.
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.