Arusha yalipuka kwa shangwe baada ya Gambo kutumbuliwa

Waziri2025

Senior Member
Sep 2, 2019
148
379
Kinachoendelea muda huu katika kumbi mbalimbali za starehe jijini Arusha ni shangwe na nderemo baada ya Mrisho Gambo kutumbuliwa.

Gambo anakumbukwa kwa chuki na fitina za wazi alizokuwa akizieneza kwa kwa viongozi wenzake na kusababisha kuondolewa madarakani.

Gambo amewaumiza sana wanaarusha kiasi cha wengine kuyumba kibiashara kutokana na tabia yake ya kuwachangisha michango mbalimbali kila wakati.

Takukuru inatakiwa kumchunguza Gambo kufutia taarifa kwamba amekuwa akitumia vibaya michango ya wadau kwa kujineemesha mwenyewe na taarifa zinadai kwamba amekusanya zaidi ya bilioni 1 kwa ajili ya kupata ubunge Arusha Mjini ,fedha zinazodaiwa kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali jijini Arusha.

IMG-20200617-WA0081.jpeg
 
Minakujua labda kuna hata kavideo ka ushahidi kumbe ni maneno matupu kama ya kwenye kanga!!!
 
Back
Top Bottom