Arusha: Watuhumiwa 702 wa Ukatili wa Kijinsia wakamatwa, Kesi 693 zaripotiwa ndani ya Miezi Miwili

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
WATUHUMIWA 702 WA UKATILI WA KIJINSIA WAKAMATWA,KESI 693 ZIMERIPOTIWA KIPINDI CHA MIEZI 2 ARUSHA
Afisa mnadhimu namba moja ACP MARY KIPESHA leo December 14 katika kilele cha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia

amesema kwa kipindi cha miezi miwili
kuanzia Oktoba hadi Novemba 2021 kesi zilizoripotiwa kwenye
vituo vya Polisi Wilaya zote za Mkoa wa Arusha ni 693.

Amesema kuwa watuhumiwa waliokamatwa ni 702 ambapo wanaume ni 419 na wanawake ni 283 katika makosa yanayohusu ukatili.

Chanzo: CG FM Tabora
 
Back
Top Bottom