Nimeona mashati ya kijani mengi kweliHakukuwa na bendera ya Chama ..chochote
Arusha hakuna CCM Kama maandamano yenyewe niliyoyaona ndio hayo.Wana wa Arusha ni waelewa hawapelekwiKwa walioko Arusha mida hii mnaweza kutuletea picha..
Kweli Arusha hakuna ccm.Walikuwa Uvccm Hata Kumi Hawafiki,wamevaa Jezi Yao Ccm