PINDA ni muathirika wa cheo alichonacho
SIO siri, kama kuna jambo ambalo lilini-disappoint kweli kweli ni vile Magufuri alivyokuwa anashambuliwa kila kona na wananchi! Lakini hata hivyo, siwalaumu sana coz' wafanyabiashara wa malori walicheza sana na media, hususani Power Breakfast ya Clouds; waka-manipulate watu na bila kujijua raia tukaingia kichwa kichwa kuwaunga mkono bila kufahamu kwamba tunachezewa akili! Niseme wazi kwamba, huwa namkubali sana GERALD HANDO wa CLouds lakini katika sakata hili nae alitumika vilivyo, ama kwa kujua au kutojua! Huyu Gerald alinikera sana kwenye vipindi vyake!!Hili si swala la Magufuri wala la Pinda, hilo ni suala la wananchi wenyewe wajiuzuru. Kama wananchi wangeliona hoja ya magufuri kuwa na mantiki basi wangelim-support, kinyume chake walianza kumshutumu mh. pombe, ndipo Pinda akatumia huo mwanya kuamua barabara zetu ziendelee kupigwa tu.
SIO siri, kama kuna jambo ambalo lilini-disappoint kweli kweli ni vile Magufuri alivyokuwa anashambuliwa kila kona na wananchi! Lakini hata hivyo, siwalaumu sana coz' wafanyabiashara wa malori walicheza sana na media, hususani Power Breakfast ya Clouds; waka-manipulate watu na bila kujijua raia tukaingia kichwa kichwa kuwaunga mkono bila kufahamu kwamba tunachezewa akili! Niseme wazi kwamba, huwa namkubali sana GERALD HANDO wa CLouds lakini katika sakata hili nae alitumika vilivyo, ama kwa kujua au kutojua! Huyu Gerald alinikera sana kwenye vipindi vyake!!
Msema hovyo Kibonde ndie pekee aliyekuwa amegundua ghiriba hii ya wafanyabiashara; lakini kwa bahati mbaya nae alishambuliwa kwenye kipindi chake hadi akafunga mdomo na siku zilizofuata ikawa ni nafasi ya POWER BREAKFAST peke yake kueneza propaganda za wafanyabiashara!
CLOUDS wapigwe tu, tumechoka.SIO siri, kama kuna jambo ambalo lilini-disappoint kweli kweli ni vile Magufuri alivyokuwa anashambuliwa kila kona na wananchi! Lakini hata hivyo, siwalaumu sana coz' wafanyabiashara wa malori walicheza sana na media, hususani Power Breakfast ya Clouds; waka-manipulate watu na bila kujijua raia tukaingia kichwa kichwa kuwaunga mkono bila kufahamu kwamba tunachezewa akili! Niseme wazi kwamba, huwa namkubali sana GERALD HANDO wa CLouds lakini katika sakata hili nae alitumika vilivyo, ama kwa kujua au kutojua! Huyu Gerald alinikera sana kwenye vipindi vyake!!
Msema hovyo Kibonde ndie pekee aliyekuwa amegundua ghiriba hii ya wafanyabiashara; lakini kwa bahati mbaya nae alishambuliwa kwenye kipindi chake hadi akafunga mdomo na siku zilizofuata ikawa ni nafasi ya POWER BREAKFAST peke yake kueneza propaganda za wafanyabiashara!
Inawezekana wewe ni muathirika katika hilo, so I can understand it! Lakini kama sheria inasema nyumba inatakiwa kujengwa kutoka umbali fulani na mtu akaenda kinyume chake basi ni sahihi kubomolewa! Kama itaonekana si sahihi basi njia muafaka ni kubadilisha sheria husika na sio kumlaumu anayesimamia sheria. Watanzania tumezoea kutotii sheria!watu melogwa na maghufuli? kwa hiyo hata maamuzi ya kuvunja nyumba za watu kwa kisingizio cha kufuata sheria nazo zilikuwa ghiliba za wafanyibiashara?
Ndugu yangu nakubaliana na wewe Kimsingi .Lakini jambo la kujiuliza ni Kwanini ASerikali haitaki kuboresha miundombinu ya RELI ilikuondokana na karaha hii....Hii mitandao ya Barabara zinazojengwa kwa mkopo ni mzigo mkubwa sana kwa wananchi wa tanzania.Pia udhibiti wake ni Mgumu. Mawaziri hawa kwa makusudi wanashiriki kuuwa usafiri wa RELI ambo kimataifa ndiyo usafiri unaotarajiwa kuwa more economic. Tungewekeza kwenye Reli kasheshe zote hizi zisingekuwepo.
Kwa makusudi hata hizi reli mbili (TAZARA na RELI YA KATI) zilizopo zinahujumiwa (YA TANGA ARUSHA NDO HIVYO TENA) nI KWA NINI wafanyakazi wa vitengo vy mizigo hulazimika kuchaji Bei kubwa kusafirisha mzigo kuliko Bei inayochajiwa kwa Gari kwa mzigo wa Uzito husika. Shida kubwa kwa hapa Tanzania ni namna tunavyopanga mipango ya maendeleo utafikiri wote tutakufa kesho...mipango yetu yote ni ya CHEKECHEA TU... Hakunaanayeangali maslhi mapana ya Taifa.
Mkuu NasDaz umeandika ukweli mtupu lakini nataka nikuhakikishie jambo moja tu kwamba weigh bridges zetu zina matatizo makubwa sana. Niliwahi kupata fursa ya kuwa karibu na hao jamaa wa Tanroads kwahiyo ninafahamu matatizo ya mizani zao,Zina variations kubwa sana Kati ya mzani mmoja na mwingine ukipima mzigo huo huo.
KUna siku ilitokea transporter mmoja aligoma kulipa faini mzani wa Kibaha na akawaambia Yuko tayari kujaza gari mafuta aondoke na mtu wa Tanroads Kibaha warudi na gari waipime upya katika mizani zote kuanzia Kibaha,Chalinze,Msata na Himo.
Jamaa wakakubali na zoezi likaanzia Kibaha,baada ya hapo wakaenda Chalinze wakapata vipimo tofauti na walivyopata Kibaha,Kisha wakaenda Msata napo wakapata vipimo tofauti na walivyopata Kibaha na Chalinze ( Gross Vehicle Mass-GVM),na zoezi la kurudia vipimo likaishia hapo Msata.
Kwa uzoefu wangu na mizani za Tanroads Kuna variations kubwa sana baina ya mzani mmoja na mwingine. Kwahiyo provision ya 5% ilikuwa ni fair kabisa kwa wafamyabiashara kwakuwa hata kiutaalamu unapotengeneza machine au mtambo lazima unaweka hiyo provision either plus or minus.