chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Jamii ya Wahadzabe mkoani Arusha wameomba mfuko wa TASAF kupitia mpango wao wa uhaulishaji fedha kwa kaya masikini uwasaidie ili waweze kununua chakula ili waachane na maisha ya kuwinda na kurina asali pekee.
Jamii hiyo imesema sasa hivi wameacha kuhamahama na wanataka msaada ili watoto wao waweze kwenda shule na kupata mlo bora.
Jamii hiyo imesema sasa hivi wameacha kuhamahama na wanataka msaada ili watoto wao waweze kwenda shule na kupata mlo bora.