RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,835
Watu gani hao wa Dar wenye husda na watu wa Arusha?! Mimi nakaa Dar hata sijawahi ku notice huyu mtu wa Arusha, wote mi nawaona Watanzania tu, mtu ninae mnotice ni Mmasai tu ila wengine wala sijawahi kuona huyu wa Arusha,Mbeya etcNi watu wa majivuno pasipo mipango yeyote wanayehisi ni mjanja kuliko wao watamchukia na kumfitini sana, mfano watoto wa Arusha. Siku za karibuni, nimegundua watu wa Dar kama wanakahusda flani hivi juu ya watu wa Arusha ata nilivokuwa Marekani niliona hii(kwa short course), na siyo Mbeya wala wapi, na hii utaiona kuanzia kwenye maofisi mpaka kwenye sanaa nk. Najiuliza ni kwanini?