Katika umri wangu wa karibu miaka 40, nusu ya maisha yangu nimeishi katika sehemu hizi mbili zilizoendelea kuliko sehemu yeyote Tanzania kwa nyakati tofauti. Kama ilivyo Dar na ndivo ilivyo A town (namaanisha Arusha mjini tu) na Dar City.Watu wa A town ni watu very laid back (watulivu) ata bondia au baunsa huwa hana mapepe, calculated, na hawawezi kuongea sana, ila ni wababe sana,wajanja wa mjini kuliko wanavoonekana.
Ni wavumilivu wa kejeli lakini wakilipuka huwa hatari sana kwa maisha ya binadamu.Tukirudi Dar city, ni mji mkuu wa kiserikali na pia kiuchumi. Kila kitu kinaanzia hapa, kuna rundo la kila aina ya watu, wanajulikana kwakusemasema hovyo na kuamini kua wao ndio wanajua kila kitu katika nchi hii.
Ni jiji lililojaa fursa ambazo wageni ndio wanafaidi kwa sana huku wenyeji, wakiongoza kwa uvivu hivyo kuwapelekea kupenda kazi za kijanjajanja na mission town kama udalali na uuzaji madawa ya kulevya. Wanahisi kama wao kuzaliwa Dar city wameongezewa miguu na mikono.
Ni watu wa majivuno pasipo mipango yeyote wanayehisi ni mjanja kuliko wao watamchukia na kumfitini sana, mfano watoto wa Arusha. Siku za karibuni, nimegundua watu wa Dar kama wanakahusda flani hivi juu ya watu wa Arusha ata nilivokuwa Marekani niliona hii(kwa short course), na siyo Mbeya wala wapi, na hii utaiona kuanzia kwenye maofisi mpaka kwenye sanaa nk. Najiuliza ni kwanini?