Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,535
mie naona wanaosomea sheria ni kwa ajili ya wanyonge na sio kwa serikali, kwani hawako fair kabisa, na wanapata amri kutoka juu kwani hao wako juu ya sheria, wanajua kabisa hapa sheria itafanya hivi lakini kutoka na kauli za wanasiasa wanakuwa hawana la kusema, wanatii tu kwani wanalinda ugali wao, ila mtazamo wangu wanasheria na mawakili hawako fair na hasa pale wanaopingiza siasa, sasa sijui wamepoteza muda wao kwenda kusomea mambo ambayo baadae yanapigwa na wanasiasaHapo inaleta picha kwamba saa hizi sheria haina nguvu tena.