GE2025 Arusha tunaenda na Ally Babu, Makonda NO

GE2025 Arusha tunaenda na Ally Babu, Makonda NO

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mzawa hapo ni nani?
Screenshot_2025-07-07-20-16-29-71_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Gambo mambo aliyomfanyia Lema yamemrudia
Ila makomnda aliypomfanyia hayajamrudia?

Hakuna Cha mambo kumrudia mtu. Watu wanateuana sababu ya mipango waliyoipanga tayari. Hata gambo angekua mwema kiasi gani, bado makonda angependelewa
 
Tuwe Makini na Makonda kafanikiwa kutumia ukuu wa mkoa kumsimanga na kumdhalilisha mbele za hadhara mara kwa mara kwa lengo la kuchukua kiti cha ubunge wa Gambo. Arusha tutakwenda na ALLY BABU
manake first priority ni BABU, makonda hata tatu bora hayumo. huo mpangilio wa majina ukisoma kila mkoa, utakuta mawaziri wote ni no.1, au wote wenye nguvu wamewekwa no.1.
 
Tuwe Makini na Makonda kafanikiwa kutumia ukuu wa mkoa kumsimanga na kumdhalilisha mbele za hadhara mara kwa mara kwa lengo la kuchukua kiti cha ubunge wa Gambo. Arusha tutakwenda na ALLY BABU
Sema wanaccm wa Arusha muende na huyo Ali Babu, maana kiuhalisia ccm kukiwa na ushindani wa kweli haiwezi kushinda.
 
Nenda kafanye kwa vitendo na hiyo kura Yako moja ๐Ÿ˜€, ccm Ina wenyewe kuwa makini
 
Wameshindwa kufanya kama kule mchinga au chalinze, amewekewa bosheni
 
Back
Top Bottom