GE2025 Arusha tunaenda na Ally Babu, Makonda NO

GE2025 Arusha tunaenda na Ally Babu, Makonda NO

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwisho wa siku huyohuyo usiyempenda ndio watamchagua, hii ni TZ🤒🤒
 
Itakuwa "umama" watu wa Arusha Mjini kumuacha mzawa wa A town na kuchagua mamluki kama Daud Bashite a.k.a Makonda.
 
Tuwe Makini na Makonda kafanikiwa kutumia ukuu wa mkoa kumsimanga na kumdhalilisha mbele za hadhara mara kwa mara kwa lengo la kuchukua kiti cha ubunge wa Gambo. Arusha tutakwenda na ALLY BABU
Who cares?

FB_IMG_1753575817398.jpg
 
Back
Top Bottom