ARUSHA TECHNICAL COLLEGE {ATC}

karare

Member
Jun 4, 2019
31
8
naomba msaada tafadhali
ninafanya aplication online kwenye chuo cha arusha technical college ngazi ya diploma
sasa nimefika step ya employer, position held nikashndwa kwa sababu mim sijaajiriwa na niki skip inakataa, na maelezo yao yanasema kama hujaajiriwa skip ili uendelee na hatua inayofuata.
naombeni msaada wenu, kama kuna aliyesoma ATC, au aliyefanya aplication ATC online, au mtu yoyote mwenye kufahamu hili naomba anisaidie.
 
Back
Top Bottom