Arusha tech interview it technician wazinguliwa...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Leo asubuh ndani ya ATC,Kumefanyika interview ya Kada mbalimbali,Kwa kweli Kada ya IT technician imeingia kwenye sura mpya bada ya kufanyika writen interview waliambiwa wajiandae kwa Practical saa sita mchana huu,ilipofika saa sita wakaenda kwenye hyo lab na kuwakuta kada ya Ass.lecturer na Tutorial Ass,wakiwa wanamalizia practical yao chini ya uangaliza wa afsa wa Tume ya ajira.

Ilipofika saa Nane kamili, kada ya kufundisha kwa masomo hayo walimaliza na kuondoka, IT TECH wakaambiwa warudi Saa nane na Nusu, Lakini baada ya kurudi muda huo walimkuta Head wa department na walipomwuliza aliwambia yeye hajui waende komp lab ambako wangemkuta Muhusika,cha kushangaza waliishia kuzunguka majengo.

Baada ya jamaa yao mmoja kufuatilia waka ambiwa paneli imekaa na inapitia mitihan ya asubuh, cha kushangaza IT tech walipewa pract bila usimamizi wa mwakilishi kutoka Tume ya ajira, na mpaka wanatoka hawakujua nini kinaendelea mpaka muda huu,badae habari za ndani zilidai kuwa ATC walikuwa na vijana wao waliopg temple hapo na ndio waliowapendekeza wachukue nafasi hizo lakini tume ya ajira ilitupilia mbali mapendekezo yao na kuamua kuja wenyewe.

Cha ajabu kingine kuna Jamaa yeye alipomaliza written aliondoka na akijua kuna pract saa sita, lakini hakuja mpaka prac ilivyoanza na kumwita jamaa akitokea Njiro na kufika huku dk zikiwa zimebaki Nusu Saa pract ya kizushi iishe.

Kwa hali ya kawaida unaweza kuitwa kwa interview mara 2? Mpaka muda huu navyo report hawajui nini kinaendelea. ...
 
Hayo inawezekana ni majungu, mimi nilikuwepo, mbona ckuona hicho unachosema, anyway pole kwa hilo kama kweli lilitokea.
 
ulikuwepo kwenye interview ya IT technician na haukuona basi wewe ni mmoja wa mlioandaliwa....
Kama ulikuwa kada nyingine si rahisi kujua huo mchezo mchafu...kama unabisha uliza staff yoyote pale Tech IT TECH Waliofanya oral walikuwa wangapi? Kama si wawili na nafasi mbili.
Shame oo yu.
 
Back
Top Bottom