SIMU YA TOCHI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,384
- 892
Policcm wapo kwaajili ya kuwawinda wananchi na si kuwalinda kama sheria inavyowaelekeza.Polisi inavamia tangu lini?
Policcm wapo kwaajili ya kuwawinda wananchi na si kuwalinda kama sheria inavyowaelekeza.Polisi inavamia tangu lini?
Sisi makapuku ndo wale Tundu Lissu alitukuta kule tumevunjwa miguu na kupewa mateso makaliHaha . Kama mbunge anavamiwa na polisi vip sisi uku makapuku.
Wakishachambuliwa wenye vyeti feki wakaondolewa jeshi litafanya kazi kwa welediPolisi wa nchi hii sijui Ni lini wataacha kukimbizana na wanasiasa na kuendelea na Kazi ya ulinzi!?
Uvamizi ni kuingia mahali kwa nguvu bila ruhusa au kibaliKwani neno "uvamizi" kwa uelewa wako ni nini.?
Hata kabla ya uchaguzi 2015 haya yalisikika sana matokeo ya kashinda na Kati ya kata 25 ccm iliambulia moja tuuHuyu lema wasihangaike nae maana baada ya awamu hii, kuwa tena mbunge wa arusha asahau.
Kuna wakati nawaza sana kuhusu hii hali.Mtu kama Lema kwa nini aisumbue serikali kiasi hiki?Tishio lake ni kubwa kiasi gani kwa usalama wa Taifa hili?Habari zilizonifikia hivi punde kwenye chumba cha habari kutokea Jijini Arusha zinatanabaisha kuwa
Leo Jumapili 30/10/2016 Polisi wamevamia nyumbani kwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa Lengo la kumkamata.Hata hivyo hawakufanikiwa kumkamata kwa kuwa Mbunge hakuwepo nyumbani muda huo
Wewe acha hizo ,Arusha ni ya TanzaDGambo akiendelea kutumika naona atakuja kutemwa bila kufanikisha kitu.....
Arusha waachie wenye Arusha yao.....
Mwenye Arusha ni Lema.........
Ni ushauri wa bure kwa Gambos
Nchi hii iko siku mpk tumwage damu ndio haki za binadamu zitaheshimiwa
Mtamaliza miaka lakini viwanda mtavisikia tu , Viwanda mchezo ! hata sisi Matajiri hatutajenga viwanda vipya katika nchi ya watu waliopigika namna hii , nani atanunua bidhaa zetu ?Nchi ya viwanda!!!!!!!!!!!
Wakienda bila warranty, taarifa au kibali ni uvamizi...Polisi hawavamii kukamata mharifu
Unauhakika hakuitwa? Hawezi kukimbia sheria atakamatwa tu.Wakienda bila warranty, taarifa au kibali ni uvamizi...
Anyway polisi wamekosa njia kabisa?? Kwani wangemuita asingeenda?? Naona wameamua kumpa kiki Lema na headline coverage kwa wiki ingine tena
Acha ujinga, mzazi wake anaingiaje hapaWewe acha hizo ,Arusha ni ya TanzaD
DAMU YA MAMA YAKO,LABDA?
we unaleta habari gani hapa,sisi tz tunajua maelewano ni kwa mazungumzo tu..
We wa wapi?