Arusha: Polisi Wavamia Nyumbani Kwa Mbunge wa Arusha Godblees Lema

Huyu lema wasihangaike nae maana baada ya awamu hii, kuwa tena mbunge wa arusha asahau.
 
Habari zilizonifikia hivi punde kwenye chumba cha habari kutokea Jijini Arusha zinatanabaisha kuwa

Leo Jumapili 30/10/2016 Polisi wamevamia nyumbani kwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa Lengo la kumkamata.Hata hivyo hawakufanikiwa kumkamata kwa kuwa Mbunge hakuwepo nyumbani muda huo
Kuna wakati nawaza sana kuhusu hii hali.Mtu kama Lema kwa nini aisumbue serikali kiasi hiki?Tishio lake ni kubwa kiasi gani kwa usalama wa Taifa hili?
Lema ni binadamu tena kwa kuwa katika upinzani ni wa daraja la pili kwa nini awasumbue hivi?
 
Roho za Watanzania zimeteketea huko Kimara nyie mko Busy na Lema,

Na imani jeshi lenu kitengo cha zimamoto kingefika kwa wakati watu wengi wangeweza kuokolewa.
 
Kama ametenda Jinai na anatafutwa na vyombo vya Dola atapatikana tu na kufikishwa mbele ya sheria.

Na kama ni taarifa za kuzua tu basi wasemaji wa vyombo husika wapo watatoa ufafanuzi watakapoona inafaa.
 
Polisi hawavamii kukamata mharifu
Wakienda bila warranty, taarifa au kibali ni uvamizi...
Anyway polisi wamekosa njia kabisa?? Kwani wangemuita asingeenda?? Naona wameamua kumpa kiki Lema na headline coverage kwa wiki ingine tena
 
Wakienda bila warranty, taarifa au kibali ni uvamizi...
Anyway polisi wamekosa njia kabisa?? Kwani wangemuita asingeenda?? Naona wameamua kumpa kiki Lema na headline coverage kwa wiki ingine tena
Unauhakika hakuitwa? Hawezi kukimbia sheria atakamatwa tu.
 
Back
Top Bottom