Arusha: Operation zika CCM, jenga CHADEMA

Mh Nanyaro nilishauri na bdo nashauri mpange ratiba vzr na eneo la mrombo ambalo ongezeko la watu nilakas kuliko maeneo mengne lipate mkutano mara kadhaa ili kuf ungua matawi ya chama makini CDM niwakati wakuimarisha chama maeneo mapya kama mrombo karibu!
 
Wewe ndio senior expert wa bangi na mirungi maana hata matendo yako yanadhirisha.
Chadema imebakisha maneno ya mipasho eti Operation zika CCM hawa jamaa bana wanavuta sana Bangi na kutafuna mirungi.
 
chadema mnaboa bana magwanda hayapatikani ingekuwa mradi wa chama. Wapi magwanda dar?

mkuu umenena kwa huo ni mojawapo wa miradi ambayo inabidi ifanyiwe kazi ili kukipa kipato chama.
 
Kweli mkuu, Kuna kwa Mrombo na Kule uswahilini na jalalani
 
Kuna kampeni ndogondogo za kuzika CCM zinazoendelea hadi ndani ya familia zetu ingawa nyingi haziwi reported humu, ukiambiwa kuna watoto sasa hivi wakiambiwa wao ni CCm wanalia wanataka waitwe CHADEMA ndiyo utajua kuwa hali ni ngumu kwa magamba. kama katiba isipobadilishwa magamba bado wanaweza kuiba na kushinda lakini siku zao zinahesabika.
 
Mkuu, umenikumbusha juzi Godbless Lema baada ya kumaliza kuongea na wakazi wa kata ya kaloleni aliwaambia kwayoyote anaetaka kadi zinapatika, kwa mshango wa wengi Lema hata hajamaliza kuongea mtoto wa miaka miwili akanyosha mkono kuashiria anataka kadi na kweli mtoto huyo ilibidi apewe kadi....watu walibaki wameduwaa kama mtoto wa miaka miwili ameona umhimu wa kuwa na kadi
 
Baada ya jana kufunika kwenye kata ya daraja mbili operesheni zika CCM, Jenga CHADEMA leo ni zamu ya kata ya Olorien ambako ndiko anakotoka Meya wa kichina.....
Wakazi wa Themi wakifatilia mkutano wa Chadema
​
wakazi wa Daraja mbili
​
 

Hukai ars wewe hivyo nyamaza! sisi wakazi wa hapa tunaona kazi ya kuziweka lami barabara hizo inaendelea na mkandarasi tayari yupo site! kaweka kambi barabara ya ungaltd- Fire mtume jamaa yako akasuhudie! ni zinajengwa kwa mfuko wa word bank! Funga kopo lako hilo! mdini mkubwa wewe.
 

Hukai ars wewe hivyo nyamaza! sisi wakazi wa hapa tunaona kazi ya kuziweka lami barabara hizo inaendelea na mkandarasi tayari yupo site! kaweka kambi barabara ya ungaltd- Fire mtume jamaa yako akashuhudie! na zinajengwa kwa mfuko wa word bank! Funga kopo lako hilo! mdini mkubwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…