Arusha night park yafurika baada ya mlipuko!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Ama kweli Arusha ni kiboko.nilikuwa ma.---- bar aka Arusha night park ..kuna umati wa wateja kuliko unavyoweza kufikiri.
Hii ndio ile bar iliyopigwa bomu juzi juzi tu!
Hatishiwi mtu nyau!
 
Tena iko jukwaa la siasa,yawezekana nae yuko hapo anakunywa viroba jogoo.
 
Ama kweli Arusha ni kiboko.nilikuwa ma.---- bar aka Arusha night park ..kuna umati wa wateja kuliko unavyoweza kufikiri
Hii ndio ile bar iliyopigwa bomu juzi juzi tu!
Hatishiwi mtu nyau!

Arusha mabomu tumezoea!
 
lete. Tusker baridii kama tulivyo
Ritz mpe kiroba
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli Arusha ni kiboko.nilikuwa ma.---- bar aka Arusha night park ..kuna umati wa wateja kuliko unavyoweza kufikiri.
Hii ndio ile bar iliyopigwa bomu juzi juzi tu!
Hatishiwi mtu nyau!

.....Hapa ni ndani ya mgodi chini ardhini zaidi ya km 1 ...hii kitu inakujengea ujasiri sana !!!!

milipuko mikubwa na mizito ni sehemu ya burudani ndani ya migodi......

DSC_4919-1.jpg
 
Chapuje, nangurumisha digger la kwa Chalii
Lazima tutoboe, Mathias ameisha mbaya tumeshamuacha mbaali muno
 
Ama kweli Arusha ni kiboko.nilikuwa ma.---- bar aka Arusha night park ..kuna umati wa wateja kuliko unavyoweza kufikiri.
Hii ndio ile bar iliyopigwa bomu juzi juzi tu!
Hatishiwi mtu nyau!

Kwan ulipiga bom ili wateja wasiende?
 
ukweli ni kwamba hiyo bar ya muhaya ilipigwa na baruti kutoka mererani na wachaga baada ya kuona hujuma zote zimeshindikana, kwani jamaa aliendelea kuvuna wateja wakutosha kuwapita wao! pole sana washindani wa kibiashara wa jamaa, na mjifunze hujuma zaaina hiyo sio nzuri kwani zinagarimu maisha ya watu! lakini watu wenye IQ ndogo kama akina lema wao wanakimbilia kuwa ni mambo ya kisiasa!

Back
Top Bottom