Arusha night park yafurika baada ya mlipuko!

Arusha night park yafurika baada ya mlipuko!

Ewe ndugu yangu mnywaji wa pombe. Hivi likipigwa bomu ukafia hapo bar mida hhii huoni utakosa la kijitetea ukifika huko tuendako ?
 
Ewe ndugu yangu mnywaji wa pombe. Hivi likipigwa bomu ukafia hapo bar mida hhii huoni utakosa la kijitetea ukifika huko tuendako ?

wapi??
kama meenzetu unaendelea na safari ya kutafuta mengine ww endelea bana wenzio hapa ndio tushafika tunapiga maji then hao kulala .
tunakutakia mwenzetu safari njema huko uendako.
ila kumbuka michepuka sio dili baki njia kuu
 
kila mtu akitupia takataka hapa sijui nin tena..,
 
Back
Top Bottom