Arusha ni giza totoro !

Arusha ni giza totoro !

Mkuu LiverpoolFC si ccm huwa kila failure yao wanai blame CHADEMA,sasa nimeona niwarahisishie kazi kwa kuwatajia makamanda wa A.town Mungi na PakaJimmy ili wasipate taabu wakianza kuwatafuta wa kuwalaumu.

Aisee we utakuwa unahusika na huu mgawo usio rasmi!!!!! ........... hey! where is my gun!..................😛ainkiller:
 
Niko Bariadi hapa takribani wiki moja hali ni hiyo hiyo umeme ukikatika asubuhi unarudi usiku saa tano au tisa.
 
Kaeni tu gizani bwana kwani nyie ni nani?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mtashangaa na kujuta kwa kusema ccm ikisimama na jiwe ni jiwe litapita
 
Jumapili walifanya kitu mbaya pande za huku, asubuhi mpaka usiku.
 
Back
Top Bottom