Arusha ni giza totoro !

Arusha ni giza totoro !

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,068
Reaction score
2,225
leo hii kuna mtu kanipa tetesi kuwa gharama za mafuta ya kuendesha yale majenereta (sijui ndo ya simbion) zimekuwa mwiba kwa serikali yaani kulipa imekuwa shughuli pevu!

Hapa arusha yapata masaa manne hakuna umeme wa giridi ya taifa,sasa ndio tuseme kamgao cha kimya kimya kameanza au?
 
Itakuwa imetokana na uchochezi wa PakaJimmy na Mungi ili nchi isitawalike , ninavyowajua CDM kwa kuchochea migomo..., hapo wameshaichochea Tanesco ili MWISHO BORA KWA KILA MTANZANIA yasifikiwe
 
Last edited by a moderator:
Ndelejha mbona kama umepita hapa kama vile unafukuzwa? Ama umetumwa nini? Tangu lini member tajwa Mungi na PakaJimmy wametoa uchochezi ndani ya Nchi yetu!

Mkuu Ndelejha kuwa makini na uyasemayo kwani Mi nina hofu na post yako!

Tanesko iko hoi tatizo ni vipi waeleze ukweli mchungu kwa watanzania!
Hizi ni taarifa kutoka jikoni.
 
Yaani tanesco manyau kweli kweli huku kwangu hamna umeme toka mchana......nilikuwa magu mchezo ndo huu huu nyau kweli kweli
 
Mkuu Jackbauer nakwambia ni kweli kabisa kwani nimeongea punde na mdau wangu ambaye nimepita naye class moja ambaye ndiye aliyeshughulikia yale majenereta yote kiufundi mpaka yakakaa pale na amedai hajawahi kuona serikali dhaifu legelege kama hii!

Tanesko iko hoi tatizo ni vipi waeleze ukweli mchungu kwa watanzania!
Hizi ni taarifa kutoka jikoni.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Jackbauer nakwambia ni kweli kabisa kwani nimeongea punde na mdau wangu ambaye nimepita naye class moja ambaye ndiye aliyeshughulikia yale majenereta yote kiufundi mpaka yakakaa pale na amedai hajawahi kuona serikali dhaifu legelege kama hii!
kiukweli kuna hela ziltakiwa kwa miradi ya maendeleo lakini Tanesko wameziomba ,wanategemea makusanyo,nahisi makusanyo yamegoma!so sad......kuna band ya rock iliimba wimbo mmoja hivi.....unaitwa SAD BUT TRUE!
 
Last edited by a moderator:
Jackbauer PakaJimmy Mungi Kupitia malalamiko ya huyu rafiki yangu huyu ambaye ni fundi pale kwenye hayo majenereta hakika anadai hii ni janga lingine kwani ni aibu kwa serikali kushindwa kununua mafuta ingali kodi ya wananchi wavuja jasho inatozwa kila kukicha na janga hili inaambatana na baadhi ya mikoa kama Mwanza na hata Dodoma.

Mi sijui Jk anataka kutuelekeza wapi!
 
Last edited by a moderator:
Tuvumiliane kwani ukarabati unaendelea!
 
Ndelejha mbona kama umepita hapa kama vile unafukuzwa? Ama umetumwa nini? Tangu lini member tajwa Mungi na PakaJimmy wametoa uchochezi ndani ya Nchi yetu!

Mkuu Ndelejha kuwa makini na uyasemayo kwani Mi nina hofu na post yako!

Mkuu LiverpoolFC si ccm huwa kila failure yao wanai blame CHADEMA,sasa nimeona niwarahisishie kazi kwa kuwatajia makamanda wa A.town Mungi na PakaJimmy ili wasipate taabu wakianza kuwatafuta wa kuwalaumu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom