mkuu kiutamaduni waarusha hutembea na rungu(ng'udi) au sime.sasa kutokana na utandawazi imebidi mila iendelezwe kwa staili ya kutembea na miguu ya kuku.
Ila kwelini dalili ya ushamba na kutojiamini, wapo watu wanamiliki lakini u wil never see it! Linapokuja kwa wale ndo twasmema washamba duh akiwa pale bugaluu anaiweka kabisa juu ya meza, sijui ndo kusema aogopwe!
kkama asilimia kubwa wana miguu ya kuku halafu wewe utembee kiuno kitupu maisha yataenda kweli?kila siku utanyang'anywa mke.ili heshima iwepo kila mtu anatundika ya kwake kiunoni.

mbona polisi,TISS na jw wanazitundika begani na viunoni na huu tuuite ushamba.washamba ni nyinyi ambao hamjazoea kuona haya mambo,ya kawaida sana haya.
kkama asilimia kubwa wana miguu ya kuku halafu wewe utembee kiuno kitupu maisha yataenda kweli?kila siku utanyang'anywa mke.ili heshima iwepo kila mtu anatundika ya kwake kiunoni.
Jamani huku Arusha karibu kila kijana mwenye maisha mazuri kiasi anamiliki bastola . Sijui kama kuna mkoa watu wanamiliki silaha kama huu . Ni kwanini inakuwa hivi ? Nipe sababu zako.