Jamani huku Arusha karibu kila kijana mwenye maisha mazuri kiasi anamiliki bastola . Sijui kama kuna mkoa watu wanamiliki silaha kama huu . Ni kwanini inakuwa hivi ? Nipe sababu zako.
Hayo ndio maendeleo tunayotaka! Hongera CDM, Hongera WACHAGA!
naelekea kumiliki yangu katikati ya mwaka huu
hahahahahaha hata mimi ipo kiunoni . Na pump action ipo hom .
Kwa shughuli gani?. Pia huna vigezo vya kumiliki
kwani vigezo vinasemaje?
We unadhani washamba wapo africa tu?kwahiyo texas nao ni washamba ?
Ni dalili ya ushamba. Wameambukizwa na nchi jirani ya Kenya.
Hata sehemu za Starehe utawakuta na Silaha , Bastola au Kisu mfukoni, ni wanaume wasiojiamini.
mkuu kiutamaduni waarusha hutembea na rungu(ng'udi) au sime.sasa kutokana na utandawazi imebidi mila iendelezwe kwa staili ya kutembea na miguu ya kuku.