utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
piga hela, nafasi ndio hii
hivi mbona DSM hakuna mishemishe ya CDM? tunakosa mengi sana
Wachaga wako bize kutaka kutawala nchi, ndio maana wameondosha Wasiokuwa wachaga.
Habari zinazo sambaa hapa arusha ninkuwa katika wiki mbili zilizo pita akina MH. MBOWE, MH NDESAMBURU, MZEE MTEI na Viongozi wengine wa karibu nao, walifanya vikao vingi na wafanyi biashara wadogo na wakubwa ambao ni wapenzi wa chadema, Hata wapiga Rangi Viatu wamechangia.
Msimamo wa hawa ndugu zetu wa kanda hii ni wakushirikiana sana, Inasemekana hizo pesa ni mchango wa Campaign ya Katika, Kuimarisha Chadema kwenye kanda wanazoziogopea huenda zikawaleta matatizo kwenye sakata la kumvua uanachama Zitto.
Helicopters kodi zake zimeshapatikana, na wala hawana shida ya kuwachangisha walala hoi.
Nawapongeza wan CDM wa mikoa hii kwa imani yao na chama wanachokipenda.
Nawapongeza kwa kuweza kukusanya kiasi cha pesa kama hizo kwa muda mdogo sana, Tuombe hao Viongozi watazitumia kuimarisha upinzani wenye afya na maendeleo.
Nawasilisha , Long Live Tanzania
View attachment 134221
Kwa hiki ulichokiandika kama ni Mwanaume basi ni type ya huyo hapo pichani na kama ni Mwanamke kwa sababu ya matumizi ya 0715 imefikia akili yako imekosa ufahamu.
chama ombaomba kwenye nchi maskin ni janga, CHADEMA wameitoa wapi hiyo mbinu ya kuwanyang'anya walalahoi hata kile kidogo walichonacho? Mbowe na Ndesamburo wana ukwas wa kutisha hawaon aibu kuchukua fedha za wang'arisha viatu?
Hapo buku7 saaaafi kwa raha zako
Kajichukulie mwaya!!!
Wale wa huko wamezea kuchangia maendeleo yao bila shurti,ndio maana hawangoji kujengewa shule,zahanati nk. Kwa hiyo kujichangia sio jambo la ajabu hata kidogo ndio maana shule kama zile za Bagamoyo huwezi zikuta kabisaWakichukua nchi zitarudi hizo.
Kama siyo ukanda kwanini wachangishe huko tu wakati wanawanachama nchi nzima..??
wachaga wako bize kutaka kutawala nchi, ndio maana wameondosha wasiokuwa wachaga.