Arusha na Moshi waichangia CHADEMA Tsh 500,000,000

Arusha na Moshi waichangia CHADEMA Tsh 500,000,000

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
6,752
Reaction score
4,974
Habari zinazo sambaa hapa arusha ninkuwa katika wiki mbili zilizo pita akina MH. MBOWE, MH NDESAMBURU, MZEE MTEI na Viongozi wengine wa karibu nao, walifanya vikao vingi na wafanyi biashara wadogo na wakubwa ambao ni wapenzi wa chadema, Hata wapiga Rangi Viatu wamechangia.

Msimamo wa hawa ndugu zetu wa kanda hii ni wakushirikiana sana, Inasemekana hizo pesa ni mchango wa Campaign ya Katika, Kuimarisha Chadema kwenye kanda wanazoziogopea huenda zikawaleta matatizo kwenye sakata la kumvua uanachama Zitto.

Helicopters kodi zake zimeshapatikana, na wala hawana shida ya kuwachangisha walala hoi.

Nawapongeza wan CDM wa mikoa hii kwa imani yao na chama wanachokipenda.

Nawapongeza kwa kuweza kukusanya kiasi cha pesa kama hizo kwa muda mdogo sana, Tuombe hao Viongozi watazitumia kuimarisha upinzani wenye afya na maendeleo.

Nawasilisha , Long Live Tanzania
 
Pole na mahangaiko kijana kisembengo chenu hamuwezi kukiinua hata kwa tende habari zake kwishney
 
Wakichukua nchi zitarudi hizo.
Kama siyo ukanda kwanini wachangishe huko tu wakati wanawanachama nchi nzima..??
 
Wamechangia CHADEMA au wamemchangia Mbowe,Mtei na Dr Slaa hela za kufanyia ufuska?

Mbowe kashakula zaidi ya milioni 300 za mkono na Rostam bado watu wanamuamini!
 
ke ke ke hasira za mkizi shuruti uzushe , CCM wamefirisi nchi haina hata hela ya kununua aspirin
 
Tusilalame. Siasa ni mchezo mchafu na wa rafu mwenye nguvu na ujanja ndiye atashinda. Sisi tutalumbana wee lakini ndio hivyo tena.
 
Wakichukua nchi zitarudi hizo.
Kama siyo ukanda kwanini wachangishe huko tu wakati wanawanachama nchi nzima..??

Du una mawazo mgando wewe ingekuwa wivu tunaufanya kwenye maendeleo tungekuwa mbali sana lakini majungu fitna na uzandiki ndio mbeleko zetu na istoshe wewe si ajabu mtoto wa kiume hukosi kuruka na ungo wewe.
 
Huu ni upuuzi,wala hapa arusha hakuna habari hizi..MIZIGO inatapatapa sana
 
Khaa!! Mijinga mingi kwelikweli. Mbona yeye mwenyekiti hukikopesha chama na wakati wa malipo huongeza sifuri tatu mwisho?
 
hivi mbona DSM hakuna mishemishe ya CDM? tunakosa mengi sana
 
Pole na mahangaiko kijana kisembengo chenu hamuwezi kukiinua hata kwa tende habari zake kwishney

shoga.png

Kwa hiki ulichokiandika kama ni Mwanaume basi ni type ya huyo hapo pichani na kama ni Mwanamke kwa sababu ya matumizi ya 0715 imefikia akili yako imekosa ufahamu.
 
Back
Top Bottom