Arusha na Manyara: Yametimia Oktoba ni Kura za mafuriko UKAWA

....

....BVR watu wamefurika hakika ni kura za mafuriko

Mdau mtafute kamanda lema popote alipo na wakina molemo waambie wawe makini na hizo bvr tuna wasiwasi nazo wasijekuchakachua na wapiganie kuipata tume huru kabla ya kupiga kura
 
Time will tell, kinachonifurahisha tu ni team yote ya mkulu wa kaya kwishennny.... Warudi Msoga kwa kilimo pili sasa.
 
Ritz kama zile pesa walizinasa leo unaishi vipi ndugu?
 
Last edited by a moderator:
Bado mapema kusema, Magufuli anaweza kuwa mchafu kama mtu mwingine, lakini hajafikia hatua ya kutosafishika. Tusibiri UKAWA watangaze mgombea, kisha mambo ya kupiga kura kwa nani yatafuata. Saa moja kabla ya kupiga kura inaweza badili yote pia.

Nakubaliana na wewe
 
Nimeshuhudia jana hapa mwanza wanachama wa ccm wakichana kadi zao za chama kwa hasira...na wemeahidi kura kwa ukawa

Kanda ya ziwa yote wamefurahia kaka usitupake matope mkuu huo ndo ukweli hapa ni kuangalia tu namna nyingine ya kutoka
 
Kamanda kwa hiyo hawa wote ulioweka picha zao walikuwa kwa Lowasssa?

...Mnama Hii picha inastahili bango kubwaa nambari waniii

20150711062922%2B%25281%2529.jpg
 
Back
Top Bottom