Arusha: Mtafaruku wasababisha chama cha ACT kufunga ofisi

Arusha: Mtafaruku wasababisha chama cha ACT kufunga ofisi

Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Na nasikitika zaidi kwamba jukwaa hili tuliloliheshimu kuwa ni "home of great thinkers" limekuwa kijiwe cha umbea na majungu.
 
Ofisi za ACT Arusha, ziko mkabala na ofisi za wafadhili wao CCM kata ya Levolosi, nadhani waliambiana.
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Na nasikitika zaidi kwamba jukwaa hili tuliloliheshimu kuwa ni "home of great thinkers" limekuwa kijiwe cha umbea na majungu.
Umbea na Majungu ni yapi hayo? Ukiva nyeusi watu waseme ninyeupe?
 
Hahaa hiko kilikuja special KWA uchaguzi ujajua mistake awakusoma nyakati so sad wakaniulia NA mjomba wangu bana siasa hizi loh
 
Back
Top Bottom