Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Habari zilizotufikia na zakuaminika kutokea jijini Arusha zinasema Chama Cha ACT Wazalendo Mkoa wa Arusha kimefunga Ofisi zake zilizopo maeneo ya Levolosi jijini Arusha.
Mtoa taarifa ambae ni kiongozi mojawapo wa ACT Wazalendo kutoka jijini Arusha ambae amekata jina lake kulitaja amesema tokea kumalizika kwa Uchaguzi wa Rais, wabunge na Madiwani kuna sintofahamu ndani ya chama chetu ambayo kimesababishwa na uongozi wa juu, moja wapo alilolisema ni kuwa wagombea wetu wa udiwani na ubunge kudanganywa na uongozi wa juu watumie hela zao binafsi kwenye kampeni na baadae watarejeshewa hizo pesa lakini mpaka leo hakuna cha pesa wala chochote.
Kodi ya pango katika ofisi ya Arusha ilikua kubwa sana hali iliyomfanya mwenye nyumba kututoa tena kwa aibu amesema kiongozi huyo.
Mpaka mdaa tunaenda mitamboni tumeendelea kuwatafuta viongozi wa ACT makao makuu kuzungumzia swala hilo lakini simu zao hazipokelewi.