arusha mpo?

Wapo tu! Wataenda wapi ? Wapo tu wamechoka! Lini basi utabandika bandiko la kuja Mwz ?
 
Jamani a town nimepamiss ila nasikia kuna baridi ni wakati gani mwafaka wa kuja huko?
 
ukikaribia kutangaza ile tenda ndio nitaweka bandiko la kuja Mwz Judgement

Afu binadamu wewe!
Tangu safari yako ya Zenji , sijakutia mbonini ?
Hadi nikahisi labda umepotea na Mv. Skagit, tender as soon as will reach the end of fastin moon, mabandiko nitaya'announce .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…