Arusha, Moshi kutikisika. Ujio wa Lowassa kuleta kitimtim | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha, Moshi kutikisika. Ujio wa Lowassa kuleta kitimtim

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by G Sam, Oct 7, 2015.

 1. G Sam

  G Sam JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2015
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 6,080
  Likes Received: 9,513
  Trophy Points: 280
  Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema ndugu Edward Lowassa anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA ) kesho anatarajiwa kulisimamisha jiji la Arusha, imethibitishwa.

  Mashabiki wa Edward Lowassa, Chadema na UKAWA kwa jumla wanatarajiwa kusababisha shughuli muhimu ndani ya jiji hilo kusimama kwa takribani saa nane huku shamrashamra kubwa na hamasa zikiwa zimetanda kila kona ya mji huu leo jioni.

  Aidha baada ya mkutano huo, mgombea huyo wa urais anayetoa wasiwasi mkubwa ndani ya kambi ya CCM anatarajiwa kuutikisa mji wa Moshi siku ya ijumaa ambapo ataivunja rekodi iliyowekwa na Willbrod Slaa mwaka 2010 wakati akiwa Moshi mjini uwanja wa mashujaa ambapo rekodi hiyo haijawahi kuvunjwa hadi anapoingia mgombea huyo wa Chadema anayeungwa mkono na wananchi walio wengi ambao wanataka mabadiliko.
   
 2. K

  KWATWANGA Senior Member

  #21
  Oct 7, 2015
  Joined: Sep 23, 2015
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaani jitahidini kwa hali na mali ukawa mkutano huo urushwe maana napenda kusikiliza hauna matusi machafu, tunaweza tukakaa na watu wa heshima tukafanikisha kusikiliza bila kuhofia maadili ya mitusi ya bulembo na nape. Pia na wanaonengua majukwaani kukamilisha fiesta. Hivi show za diamond huwa sh 10000 sasa ccm wamekulipia na loro la kukuleta kuangalia bure. Kwanini mtu usiende ku-rifresh kichwa chako baada ya stress za ushuru na michango ya wanafunzi. Fiesta ccm sera na maendeleo ukawa/chadema aka edward ngoyai lowasa mashine. Elimu, afya, miundombinu bora, kilimo, viwanda na ulinzi na usalama. Viva lowasa dakika kumi zinatosha usizidishe porojo, dakika nyingi weka kwenye utekelezaji. Mti wenye mtunda ndio hupigwa mawe tumeshatambua
   
 3. IRINGA MOJA

  IRINGA MOJA JF-Expert Member

  #22
  Oct 7, 2015
  Joined: Nov 13, 2014
  Messages: 499
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  Nipo tayari kumsubiri mh Rais anayesubiri kuapishwa
   
 4. anonymous x

  anonymous x JF-Expert Member

  #23
  Oct 7, 2015
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,752
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280

  CCM ni sawa na choo kwa hio harufu yote ya kinyesi huko Arusha na Moshi inatarajiwa kusafishwa na ujio wa Lowasa.!
   
 5. Jigsaw

  Jigsaw JF-Expert Member

  #24
  Oct 8, 2015
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,818
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Sio kila mtu ana fanya kazi " TWAWEZA "
   
 6. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #25
  Jan 9, 2018
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,442
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Safiii
   
 7. kauga JR

  kauga JR JF-Expert Member

  #26
  Jan 9, 2018
  Joined: Mar 4, 2015
  Messages: 2,959
  Likes Received: 1,616
  Trophy Points: 280
  Aaahhhh...bas sawa
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...