Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Wanaume mmekuwa laini kama mrenda.Aibu kubwa na ukiukwaji wa haki. Mgombea wa NRA kata ya Murieti ameshikiliwa kwa nguvu ktk Halmashauri ya Jiji Arusha, kwa sababu ya kujitoa na kumuunga mkono Diwani wa Chadema , msimamizi wa uchaguzi amekataa kupokea barua yake na kumweka chini ya ulinzi. Time will tell
ha ha ha, duh - its hard to swallow !!Aibu kubwa na ukiukwaji wa haki. Mgombea wa NRA kata ya Murieti ameshikiliwa kwa nguvu ktk Halmashauri ya Jiji Arusha, kwa sababu ya kujitoa na kumuunga mkono Diwani wa Chadema , msimamizi wa uchaguzi amekataa kupokea barua yake na kumweka chini ya ulinzi. Time will tell
mbona mnahaha kama wamekuwa laini?Wanaume mmekuwa laini kama mrenda.
Wacha akili ziwakae sawa
Makarai lazima yatoke tubaki mafundipropaganda hyo hakuna ukwel wowote vjana wamechoka kuwa makarai mkuu
Taarifa hii ya Sisi kujitoa na kuunga mkono chama kingune sio Sahihi ,kwa maana chama chetu hakijasajiliwa kwa lengo la kuunga mkono vyama vingine ktk UCHAGUZI, labda ktk MASUALA mengine ,hivyo huyu atakuwa na lake,IKUMBUKWE kuwa yeye ni mteule wa chama ,hivyo kujitoa kwake bila kupitia taratibu za chama ni ukiukwaji wa maamuzi ya chama,Alipaswa kuja na kutueleza tatizo kisha tumshauri ,au labda amehama chama , (kama amehama ni haki yake ) ila kama bado ni NRA , hana mamlaka hayo.Aibu kubwa na ukiukwaji wa haki. Mgombea wa NRA kata ya Murieti ameshikiliwa kwa nguvu ktk Halmashauri ya Jiji Arusha, kwa sababu ya kujitoa na kumuunga mkono Diwani wa Chadema , msimamizi wa uchaguzi amekataa kupokea barua yake na kumweka chini ya ulinzi. Time will tell
Hivi K-Y hazipatikani kabisa...Wanaume mmekuwa laini kama mrenda.
Wacha akili ziwakae sawa