Arusha: Mgombea Udiwani Muriet Kupitia NRA Ashikiliwa na Polisi kwa Kosa la Kutaka Kujitoa na Kumunga Mkono wa CHADEMA

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Aibu kubwa na ukiukwaji wa haki. Mgombea wa NRA kata ya Murieti ameshikiliwa kwa nguvu ktk Halmashauri ya Jiji Arusha, kwa sababu ya kujitoa na kumuunga mkono Diwani wa Chadema , msimamizi wa uchaguzi amekataa kupokea barua yake na kumweka chini ya ulinzi. Time will tell
 
ha ha ha, duh - its hard to swallow !!
 
Kwani kujitoa na kumuunga mkono mgombea mwingine ni lazima kutoa taarifa kwa kuandika barua?

Mwambie aendelee na kampeni, na badala ya kujipigia kampeni yeye kuchaguliwa, ampigie kampeni anayemuunga mkono kwa kutoa hotuba za kinyume kinyume na wapiga kura watamwelewa tu....

Kuandika barua na kumpelekea msimamizi wa uchaguzi ambaye katika kata ni Afisa Mtendaji wa Kata (WEO) ambaye humwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya (DED) kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi (NEC) ambaye ni mteule wa Magufuli anakuwa anataka nini unadhani?

Kwa kifupi sana ni kuwa hajavunja sheria yoyote na ni haki yake kabisa kuchukua uamuzi huo lakini lililo dhahiri ni kuwa, huyo anatafuta mkwanja kutoka kwa maCCM ili aidha aendelee na kampeni kupunguza kura za CHADEMA ama kinyume chake atangaze kumuunga mkono mgombea wa Magufuli...

It's as simple as that..... nothing more nothing less...!!
 
Aibu kubwa na ukiukwaji wa haki. Mgombea wa NRA kata ya Murieti ameshikiliwa kwa nguvu ktk Halmashauri ya Jiji Arusha, kwa sababu ya kujitoa na kumuunga mkono Diwani wa Chadema , msimamizi wa uchaguzi amekataa kupokea barua yake na kumweka chini ya ulinzi. Time will tell
Taarifa hii ya Sisi kujitoa na kuunga mkono chama kingune sio Sahihi ,kwa maana chama chetu hakijasajiliwa kwa lengo la kuunga mkono vyama vingine ktk UCHAGUZI, labda ktk MASUALA mengine ,hivyo huyu atakuwa na lake,IKUMBUKWE kuwa yeye ni mteule wa chama ,hivyo kujitoa kwake bila kupitia taratibu za chama ni ukiukwaji wa maamuzi ya chama,Alipaswa kuja na kutueleza tatizo kisha tumshauri ,au labda amehama chama , (kama amehama ni haki yake ) ila kama bado ni NRA , hana mamlaka hayo.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom