Arusha: Makampuni ya utalii pamoja na hoteli za kitalii wapata hasara baada ya watalii kuondoka

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
10,414
Reaction score
18,438
Arusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii ukizingatia kipindi hichi ni msimu wa utalii almaarufu High season. Ambapo kunakuwaga na mafuriko ya watalii.

Hali hiyo imeeelezwa kusababishwa na vurugu za uchaguzi za October 29 na pia maandamano yanayodaiwa yatafanyika December 9.

Makampuni mengi na hoteli nyingi za kitalii wameshindwa wafanye Nini juu ya sakata hili kutokana na idadi kubwa ya watalii kusitisha safari zao za kuja nchini
 
Wao wamepata hasara ya pesa watapata hela nyingine, kuna watu wamepoteza roho
 
Arusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii ukizingatia kipindi hichi ni msimu wa utalii almaarufu High season. Ambapo kunakuwaga na mafuriko ya watalii.

Hali hiyo imeeelezwa kusababishwa na vurugu za uchaguzi za October 29 na pia maandamano yanayodaiwa yatafanyika December 9.

Makampuni mengi na hoteli nyingi za kitalii wameshindwa wafanye Nini juu ya sakata hili kutokana na idadi kubwa ya watalii kusitisha safari zao za kuja nchini
Tunaiomnea Nchi Yetu Amani
 
Waende wakaangalie ile move yake sa100
Halloo Perar!

Do you know whera I wanna go?

Screenshot_20250901-172332~2.png
 
Arusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii ukizingatia kipindi hichi ni msimu wa utalii almaarufu High season. Ambapo kunakuwaga na mafuriko ya watalii.

Hali hiyo imeeelezwa kusababishwa na vurugu za uchaguzi za October 29 na pia maandamano yanayodaiwa yatafanyika December 9.

Makampuni mengi na hoteli nyingi za kitalii wameshindwa wafanye Nini juu ya sakata hili kutokana na idadi kubwa ya watalii kusitisha safari zao za kuja nchini
Kuna watu watakuja kubishana na ukweli.
 
Back
Top Bottom