[Arusha mailing] Arusha city plans new Satellite town | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

[Arusha mailing] Arusha city plans new Satellite town

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jethro, Aug 22, 2011.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145

  The Arusha District Council has embarked on a multibillion shillings project to build a new satellite town comprising hundreds of residential houses and shopping malls.
  [​IMG]
  “We’ve already acquired the land of about 430 hectares to the tune of 8.6bn/- and full construction of the project is set to start by October this year,” said Khalifa Hida, executive director of the council.
  He said the project, geared to boost the district council's revenue collections, was also meant to provide low-income earners with ultra-modern residential houses, which would be made available for people to rent or purchase.
  According to Hida, the council was making final touches to kick start the project dubbed, “Arusha DC, Safari Town”.
  "Only minor issues are yet to be address before the kick off of the implementation. We’re talking to Valhala Estate Company, which has been picked to implement the project,” he said, without disclosing the total project coss.
  Hida explained: “This is one of the giant projects the district council has ever embarked opon in its history. So, we need a lot of support from development partners in and outside the country.”
  He however explained that the entire project would be implemented under the newly established firm – Arusha District Council Trust Company.
  The district council was in a process of acquiring a 8.6bn/-, loan from the Tanzania Investment Bank (TIB) as part of efforts to raise money for the project, said the council DED.
  Hida said hundreds of houses would be built in the project area to accommodate people with different economic status and lifestyles.
  He said the council also needed to form different committees, which would be charged with installing important social services like water, power and sewerage.
  A special committee would be formed to supervise and coordinate the entire project from construction, marketing and roads.  SOURCE: THE GUARDIAN
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  kwa jinsi arusha ilivyo na halmashauri ikiyatunza mazingira vizuri bado naamini arusha inaweza kuja kuwa the most beautiful city in east and centra Afrika! Arusha imebarikiwa sana basi tu!
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Yeah Arusha ina kila kitu cha kuweza kujijenga na kuwa mji mashuhuri sana
  bado kuna maeneno mengi nje kidogo ya mji (CBD) ambako kuna estates ambazo zikitumiwa vizuri ni njia mojawapo ya kulifanya jiji kupendeza
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  kuna kipindi miaka ya nyuma sana ilikuwa lazima kila nyumba kupanda mti Arusha na wakaguzi walikuwa wanazunguka kukagua,miche ilikuwa inatolewa bure!
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Watu wa arusha wanapenda sana mazingira na hakuna mtu anayejenga hata kajumba kake bila kuwa na uhakika wa miti na miche ya maua japo inauzwa ghali sana
  bado arusha ina maeneo mengi mazuri na maji kwa mfano maeneo ya tengeru, usa river, maji ya chai, burka, kisongo na ngaramtoni bado kuna maji ambayo yanasaidia kuufanya mji kuwa wa kijani kwa muda
   
 6. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  mwanza imebadilishwa sana na zile barabara kama za Dark es salaam nafikiri Arusha wakipanua barabara kwa kuanzia litakuwa jiji bora after Dark es salaam!
   
 7. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  wadau wa Arusha wanaweza kut urushia mapicha ya Arusha ilivyo kama Geneva,maeneo kama ya Ngurdoto kuna kijani balaa!
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  jiji linapendezeshwa na barabara,mfano kinondoni ya sasa na those days au itavyokuwa old bagamoyo ikikamilika,hebu fikiria walau moshi arusha road na nairobi rd zingekuwa kama nyerere road Arusha ingekuwaje
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  mkuu kweli tatizo la arusha ni barabara
  wakizikarabati na kuziongeza barabara za arusha yaani jiji litakuwa bomba sana hasa ya Arusha- Moshi na hii ya Arusha Dodoma na ile ya Arusha- Moshi ya zamani inayopita Kijenge ili kuwez akupitisha malori na magari ya mizigo
   
 10. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  We're talking to Valhala Estate Company, which has been picked to implement the project," he said, without disclosing the total project coss.

  Naona wenzangu mnafurahia mji utavyopendaza na kubadilika kuwa GENIVA ya africa..well n good.... Naomba kujibiwa maswali haya kabla hatujafurahia habari hizi "NZURI SANA" kwa wana arusha na tanzania nzima kwa ujumla wake:-

  1- Tuanze na hapo kwenye red.. hawa ni kina-nani?..toaka wapi?..naona kama jina liana asilia ya ki-asia...nadhani tunawajua vizuri hawa ndugu zetu wenye asili hii ya ki-asia katika suala zima la real estate business

  2- Ni mpango wa kuijenga arusha kwa maslahi ya wana-arusha na watanzania wa vipato vyote kuanzia chini mpaka juu au ni mpango wa kuijenga arusha kwa ajili ya kuwauzia kiana patel, prakash, rajeev, ghandhi etc au ni kwa ajili ya kiana Mh. Mbunge, waziri, katibu mkuu etc?

  3- Kabla ujenzi wa mji wa arusha mpya kuanza..."UPO WAPI HUO MKATABA ULIOINGIWA KATI YA ARUSHA MUNICIPAL COUNCIL NA HAWA WENYE JINA COLORED RED"????...Navyoijua inji yangu...unaweza kushangaa arusha ishauzwa kwa wenzetu wenye asili ya ki-asia.
  4- Why not disclosing the costs???...hapa napata wasiwasi..i smell something fishyy... na huyu mkurugenzi..mnhh sijui.

  5- Imeanzishwa kampuni mpya kushughulikia suala hili????...wakurugenzi wake ni kina nani na sheria zinasemaje kuhusu kuanzishwa kampuni ndani ya halmashauri ya mji??

  Samahani wadau kama nimewakwaza kwa kuuliza miswali ya kipuuzipuuzi kisa tuu "najifanya napenda kuchunguza mambo kwa kina uerefu na mapana"...ila ndio hivyo nilivyoumbwa sio kosa langu.
   
 11. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu nakuunga mkono katika hili na kwa kuongezea je hii satellite town yajengwa wapi kwasababu nakumbuka kulikua na mpango wa kujenga kisongo na gomba kama sikosei sasa hii hawajasema yajengwa wapi
   
 12. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  <br />
  Yamekuwa hayo tena!
   
 13. o

  ommie Member

  #13
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...tunafurahia kuitwa GENEVA OF AFRICA... swa safoi sanaa tena san tu...! Ila kuanze kuboreshwa kwenye mazingira yazungukao mjoi mzima kwan.. Kila kitu kibovo yuani hovyo hovyo....! Miundo mbinu kwanza..
   
Loading...