Utafeel motooMtaa wangu hapo nikiendaga chuga hapo tgpesa natoaga hela sana hapo min supermarket kuna sister anauzaga bis nilikua namfil mby
Jamaa wa Mpesa ni mshikaji wangu sana anaitwa Baraka. dah pole zake aiseeMtaa wangu hapo nikiendaga chuga hapo tgpesa natoaga hela sana hapo min supermarket kuna sister anauzaga bis nilikua namfil mby
Hakuna mtungi wa gesi uliolipuka japokuwa kuna milipuko ambayo ni minor na alisababishwa na perfumes na pombe kali zile ambazo ni explosives in natureNipo hapa eneo la tukio nikitokea mahakamani,Kweli moto mkubwa na mitungi ya gesi imechochea sana moto.
Madereva na makonda wamechota fedha kwenye maduka,polisi kamateni hao wanaopaki Coaster za Arusha-Kilimanjaro wanajua .